NPSC yalalamikia kunyimwa rekodi za polisi
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2025-07-30
Просмотров: 1087
Описание: Tofauti kati ya tume ya kuwaajiri maafisa wa polisi NPSC na idara ya polisi zilishuhudiwa bungeni leo, NPSC ikilalamikia kunyimwa rekodi za maafisa wa polisi walioajiriwa nchini wabunge wakiibua maswali kuhusu nini kinachofichwa kwenye rekodi hizo
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: