Majonzi : MTOTO WA MIEZI 8 NA MAMA YAKE WAZIKWA BAADA YA KUFA KATIKA AJALI YA BASI LA BM COACH
Автор: KUSAGA TV
Загружено: 2022-11-30
Просмотров: 18305
Описание: Mamia ya Wananchi wa Kata ya Olturmet Wilayani Arumeru Arusha wamejitokeza kwa ajili ya Kimuaga Marehemu Jenifer Julius Mollel (27) na mwanae Kenji Kelvin Samike (miezi nane) ambao walifariki Katika ajali ya Gari iliyohusisha Basi la BM iliyotokea maeneo ya Mombo kutoka na uzembe wa Dereva Katika Wilaya ya Korogwe Tanga ambapo Mtoto huyo wa miezi minane alifariki papo hapo huku Mama yake akifariki wakati anapatiwa matibabu katika hospital ya Kcmc Moshi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: