ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Kilichojiri kesi ya padri na wenzake wanane tuhuma za mauaji ya Asimwe

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2024-06-28

Просмотров: 10210

Описание: Watuhumiwa wanane wa mauaji ya mtoto mwenye ualbino, Asimwe Novath (2) wamefikishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba akiwapo Paroko Msaidizi Elipidius Rwegashora wa Parokia ya Bagandika wilayani Misenyi Mkoa wa Kagera.
Mtoto Asimwe alichukuliwa Mei 30, 2024 na watu wawili wasiyojulikana akiwa nyumbani na mama yake, saa 2:30 asubuhi katika Kitongoji cha Mbale kilichopo katika Kijiji cha Bulamula, Wilaya Muleba mkoani Kagera.
Mabaki ya mwili wa marehemu Asimwe yalikutwa yametelekezwa kwenye mfuko wa sandarusi chini ya karavati katika Barabara ya Ruhanga Makongora, katika Kitongoji cha Malele, Kata Ruhanga, Juni 17, 2024 na kuzikwa siku iliyofuata Juni 18, 2024, nyumbani kwao.
Washtakiwa wote tisa, leo Ijumaa Juni 28, 2024 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba na kusomewa shitaka moja la mauaji ya kusudiwa ya mtoto mwenye ualbino, Asimwe, ambalo ni shauri namba 17740.
Awali, Mkuu wa Mashtaka Mkoa Kagera, Waziri Magumbo amesema Mahakama hiyo haina mamlaka ya kusikiliza shauri hilo, hivyo washtakiwa wote hawatakiwi kujibu chochote hadi watakapofikishwa Mahakama Kuu.
Jamhuri imefungua shauri hilo la mauaji ya kukusudia namba 17740 la mwaka 2024 ambalo limesomwa na Mkuu wa Mashtaka Mkoa Kagera, Waziri Magumbo, mbele ya Hakimu Mkazi wa Bukoba, Eliapokea Wilsoni, aliyesikiliza shauri hilo.
Baada ya kutajwa kwa shauri hilo na kusikiliza na Hakimu Mkazi Bukoba, Eliapokea Wilson amehairisha kesi hiyo hadi Julai 12, 2024, shauri litakapotajwa tena na washtakiwa wote tisa wamepelekwa rumande, gereza la Bukoba.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Kilichojiri kesi ya padri na wenzake wanane tuhuma za mauaji ya Asimwe

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Siku 10 ambazo TRUMP amewapa IRAN zikiisha hiki ndicho huenda kikatokea!

Siku 10 ambazo TRUMP amewapa IRAN zikiisha hiki ndicho huenda kikatokea!

MAELEZO ya MASHAHIDI YADAI PADRI ALIMUAMBIA BABA ASIMWE AMUUE ASIMWE- ATAMPELEKA DAR-KUMNUNULIA GARI

MAELEZO ya MASHAHIDI YADAI PADRI ALIMUAMBIA BABA ASIMWE AMUUE ASIMWE- ATAMPELEKA DAR-KUMNUNULIA GARI

WASIFU WA MTOTO ASIMWE WAWATOA WATU MACHOZI UKISOMWA, DIWANI AELEZA KILA KITU

WASIFU WA MTOTO ASIMWE WAWATOA WATU MACHOZI UKISOMWA, DIWANI AELEZA KILA KITU

POLISI WATAJA MAJINA WALIOMUUA ASIMWE - YUPO PAROKO ALIYEMSHAWISHI BABA WAFANYE BIASHARA ya VIUNGO

POLISI WATAJA MAJINA WALIOMUUA ASIMWE - YUPO PAROKO ALIYEMSHAWISHI BABA WAFANYE BIASHARA ya VIUNGO

“Арашан” менен “Мериностун” айырмасы  //

“Арашан” менен “Мериностун” айырмасы // "Чарбакер" берүүсү

WATUHUMIWA TISA MAUAJI YA MTOTO ASIMWE WAFIKISWA TENA MAHAKAMANI LEO

WATUHUMIWA TISA MAUAJI YA MTOTO ASIMWE WAFIKISWA TENA MAHAKAMANI LEO

MSITU wa MAAJABU KAGERA Wenye 'HOTEL' ya KIFAHARI, KUNA MAPANGO na MAPOROMOKO ya MAJI..

MSITU wa MAAJABU KAGERA Wenye 'HOTEL' ya KIFAHARI, KUNA MAPANGO na MAPOROMOKO ya MAJI..

KESI YA MAUAJI YA MTOTO ASIMWE YAKWAMA, PADRE APELEKWA KUPIMWA AKILI

KESI YA MAUAJI YA MTOTO ASIMWE YAKWAMA, PADRE APELEKWA KUPIMWA AKILI

🔴#BREAKING: RAIS SAMIA NDANI ya KOMBATI za KIJESHI - ANAZINDUA MAKAO MAKUU ULINZI wa TAIFA| DODOMA

🔴#BREAKING: RAIS SAMIA NDANI ya KOMBATI za KIJESHI - ANAZINDUA MAKAO MAKUU ULINZI wa TAIFA| DODOMA

🔴 СРОЧНО УЖАС В МЕКСИКЕ: ВОЙНА КАРТЕЛЕЙ С ПРАВИТЕЛЬСТВОМ #новости #одиндень

🔴 СРОЧНО УЖАС В МЕКСИКЕ: ВОЙНА КАРТЕЛЕЙ С ПРАВИТЕЛЬСТВОМ #новости #одиндень

35 Случаев, Когда Природа Сошла с Ума

35 Случаев, Когда Природа Сошла с Ума

KAULI MBALIMBALI ZA KARDINALI PENGO, SABABU KUZIKWA PUGU

KAULI MBALIMBALI ZA KARDINALI PENGO, SABABU KUZIKWA PUGU

PART 2: MAAJABU YA ZIWA IKIMBA LILOIBUKA KIMIUJIZA

PART 2: MAAJABU YA ZIWA IKIMBA LILOIBUKA KIMIUJIZA "HAUWEZI KUMVUSHA MWALI KWENYE MTUMBWI"

Rich African villages you never see! This is Kamachumu Kagera Tanzania

Rich African villages you never see! This is Kamachumu Kagera Tanzania

Waziri Makonda na mbunge katika mkutano wa ziara ya waziri mkuu Leo Arusha Februari 24, 2026

Waziri Makonda na mbunge katika mkutano wa ziara ya waziri mkuu Leo Arusha Februari 24, 2026

LISSU AWAKAANGA VIKALI UPANDE WA JAMHURI/AIBUKA KIDEDEA PINGAMIZI LA- ONGEZEKO LA SHAHIDI..

LISSU AWAKAANGA VIKALI UPANDE WA JAMHURI/AIBUKA KIDEDEA PINGAMIZI LA- ONGEZEKO LA SHAHIDI..

Mtu Mrefu Zaidi Duniani |WATU WA AJABU ULIMWENGUNI

Mtu Mrefu Zaidi Duniani |WATU WA AJABU ULIMWENGUNI

Сильные дожди чреваты катастрофой

Сильные дожди чреваты катастрофой

КАК ХОРОНЯТ ВОРОВ В ЗАКОНЕ — 20 САМЫХ ДОРОГИХ МОГИЛ!

КАК ХОРОНЯТ ВОРОВ В ЗАКОНЕ — 20 САМЫХ ДОРОГИХ МОГИЛ!

DCEA: HATUYUMBISHWI NA VITISHO VITA DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA

DCEA: HATUYUMBISHWI NA VITISHO VITA DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]