ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

NOMA! TRAORE WA BURKINAFASO AJITOSA|VITA IRAN NA MAREKANI|TAZAMA ALICHOSEMA.

Автор: Yuhoma Tv Media

Загружено: 2026-03-03

Просмотров: 15940

Описание: Jeshi la iran limetangaza msururu wa mafanikio makubwa katika kile imeeleza kumuangamiza mdhalimu marekani.
Katika taarifa iliyotolewa na jeshi la iran kupitia msemaji wa vikosi vya walinzi wa mapinduzi ya kiislamu irgc imeeleza ya kwamba jeshi la iran limefanikiwa moja kwa moja kuwaangamiza wanajeshi Zaidi ya 650 katika siku mbili mfululizo za vita baina ya iran na marekani.
Msemaji wa irgc akiendelea kutoa taarifa hiyo liyoitaja kuwa ya mafanikio amesema kwamba iran mafikisha pia kudungua na kusambaratisha moja kwa moja ndege vita za marekani zilizokuwa zilizokuwa zikinyemelea anga lake na maeneo jiran.
Katika kuzimwa kwa jaribio hilo la ndege vita za marekani pia msemaji huyo wa irgc amesema mbali na kudungua ndege hizo pia jeshi kile ameliita imara la iran limedondosha dege kubwa la kivita la marekani lenye ukubwa sawa na uwanja wa mpira wa miguu katika anga la mashariki ya kati.
Pia jeshi limebainisha kushambulia uwanja wa ndege wa dubai emirates airline katika shambulio lake la mapema ambapo safari za anga dubai zimefungwa kwa sasa.
Sanjari na hilo pia jeshila iran limeelezea mafanikio yake makuu katika shabaha yake ya kuangamiza balozi za marekani mashariki ya kati likisema ubalozi wa marekani mjini Riyadh saudia arabia sio tu umeshambuliwa bali umesarambaratishwa
Naye kiongozi mkuu wa mpito wa serikali ya mapinduzi ya kiislamu wa iran ayatollah arafi kupitia ukurasa wake x zamani twter amechapisha picha ya anga inayoonyesha shambulio hilo akisema namnukuu...
“hapa si iran,pakstan ama Iraq hapa ni katika ubalozi wa marekani na hilo ni miongoni tu ya shambulio dogo Zaidi hapo bado iran haijaanzisha matumizi ya makombora yake ya invisible misiles ambayo hayo hakuna mfumo wowote wa anga ambao unaweza kuyadhibiti mwisho wa nukuu.

Kufuatia hilo marekani limeshindwa kujizuia ambapo rais Donald trump ametuma ujumbe mzito kwa iran kupitia mtandao wake wa truth social akisema naomba kumnukuu jibu kubwa linamkinbiri iran juu ya shambulio lake katika ubalozi wetu saudia sambambba na kuuwa mamia ya wanajeshi wetu jibu linalostahili ambalo halijawahi kutokea linakuja hivi punde mwisho wa nukuu.
Katika majibizino ya vuta nikuvute viongozi waandamizi wa iran na marekani waziri wa mambo ya nje wa iran amenukuliwa akisema marekani sasa si wakaogopwa tena wamekuwa wakijisifu kwa teknolojia za kijeshi lakini bure kabisa ona sasa ndege zake vita za f-35 zinadondoka zenyewe wakisingizia makossa ya kimfumo wa anga wa Kuwait hii ni sawa na sifuri.
Naye waziri wa mambo ya kigeni wa marekani marco rubio amenukuliwa na chombo cha habari cha marekani the neyork times akielezeza hofu yake katika vita dhidi ya iran akisema namnukuu “ndugu zangu iran wanauwezo wa kuzalisha makombora tunayoyashuhudia Zaidi ya 100 kwa mwezi hiyo ni kwamakadirio tu na si idadi halisi,wakati huo sisi uwezo wetu ni kuzalisha mifumo ya kinga vipangua makombora sita hadi saba kwa mwezi tusisahau pia iran wanazaidi ya maelfu ya drones za kushambulia kwahivyo tusichukulie poa vita hivi.mwisho wa nukuu.

Katika ushirika wa marekani nakutumia kambi zake mashariki ya kati kuishambulia iran hivi leo taifa la pakstan limetoa kauli ya onyo likikataa katakata dhidi ya kutumiwa na marekani kuishambulia iran likisema silaha yoyote ya marekani itakayoingia pakstan itasambaratishwa ndani ya sekunde.

Hata hivyo katika maswali mseto juu ya msaada wa washirika wa iran katika vita na marekani siku yab leo jibu hilo limetanabaishwa na kiongozi mkuu wa mpito wa iran ayatollah Alireza arafi akielezea msaada mkubwa kutoka kwa rais wa china xi jimpingakisema na mnukuu “ nashukuru sana china kwa kutangaza full sapoti katika vita hivi na nyakati hizi ngumu kwa wairan mwisho wa nukuu.
Katika taarifa iliyoshtua wengi ni uingiliaji kati wa Traore katika vita dhidi ya marekani ambapo rais wa burkinafaso Ibrahim Traore amesema yuko tayari kwa msaada wa kijeshi kuisaidia iran endapo itahutaji.SUBSCRIBE sasa kwa habari nyeti na kubwa‪@yuhomatvmedia‬

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
NOMA! TRAORE WA BURKINAFASO AJITOSA|VITA IRAN NA MAREKANI|TAZAMA ALICHOSEMA.

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

SHEREHE ZA KUAGWA KWA MAKAMISHNA WASTAAFU WA JESHI LA POLISI

SHEREHE ZA KUAGWA KWA MAKAMISHNA WASTAAFU WA JESHI LA POLISI

VITA YA MAREKANI NA IRAN MOTO MKUBWA / TRUMP ATOA KAULI / IRAN YAENDELEA KUSHAMBULIA

VITA YA MAREKANI NA IRAN MOTO MKUBWA / TRUMP ATOA KAULI / IRAN YAENDELEA KUSHAMBULIA

HIZI HAPA HABARI ZA UKWELI KUTOKA KWENYE UWANJA WA VITA ASUBUI YA LEO TAREHE 04/03/2026

HIZI HAPA HABARI ZA UKWELI KUTOKA KWENYE UWANJA WA VITA ASUBUI YA LEO TAREHE 04/03/2026

TIÊU ĐIỂM QUỐC TẾ: Iran khoe 11 bom hạt nhân nhắm thẳng nước Mỹ, ông Trump “không kịp trở tay”?

TIÊU ĐIỂM QUỐC TẾ: Iran khoe 11 bom hạt nhân nhắm thẳng nước Mỹ, ông Trump “không kịp trở tay”?

Nóng: Cuba khiến ông Trump bất ngờ giữa lúc Mỹ “chìm đắm” ở Iran

Nóng: Cuba khiến ông Trump bất ngờ giữa lúc Mỹ “chìm đắm” ở Iran

TRUMP ATANGAZA MELI ZA KIJESHI ZA MAREKANI ZITASINDIKIZA MELI ZA MAFUTA KWENYE MLANGO WA HORMUZ

TRUMP ATANGAZA MELI ZA KIJESHI ZA MAREKANI ZITASINDIKIZA MELI ZA MAFUTA KWENYE MLANGO WA HORMUZ

AMKA NA BBC KISWAHILI LEO JUMATANO/MAREKANI AZIDISHA MOTO IRAN/..

AMKA NA BBC KISWAHILI LEO JUMATANO/MAREKANI AZIDISHA MOTO IRAN/..

Открытие Варбурга: 4 переключателя, которые мешают раку расти | Здоровье с Доктором

Открытие Варбурга: 4 переключателя, которые мешают раку расти | Здоровье с Доктором

ՄԱՆՐԱՄԱՍՆԵՐ ԴԱՎԻԹ ՍՏԵՓԱՆՅԱՆԻ ՀԵՏ

ՄԱՆՐԱՄԱՍՆԵՐ ԴԱՎԻԹ ՍՏԵՓԱՆՅԱՆԻ ՀԵՏ

4.03: Iran gotowy na długą wojnę z USA i Izraelem, Trump zrywa relacje handlowe Ameryki z Hiszpanią

4.03: Iran gotowy na długą wojnę z USA i Izraelem, Trump zrywa relacje handlowe Ameryki z Hiszpanią

Mfahamu MOJTABA, mtoto wa KHAMENEI anayeripotiwa huenda akateuliwa kuwa kiongozi Mkuu wa IRAN

Mfahamu MOJTABA, mtoto wa KHAMENEI anayeripotiwa huenda akateuliwa kuwa kiongozi Mkuu wa IRAN

Kilichotokea kwenye ndege 3 za kijeshi za Marekani zilizodunguliwa Kuwait

Kilichotokea kwenye ndege 3 za kijeshi za Marekani zilizodunguliwa Kuwait

Жириновский: остатки Ирана и Турции войдут в состав России! Воскресный вечер с Соловьевым. 13.05.18

Жириновский: остатки Ирана и Турции войдут в состав России! Воскресный вечер с Соловьевым. 13.05.18

Ni kweli IRAN inashambulia makusudi miundombinu ya Kiuchumi ya nchi za Ghuba?

Ni kweli IRAN inashambulia makusudi miundombinu ya Kiuchumi ya nchi za Ghuba?

13 минут назад российский пилот Су-57 уничтожил американский авианосец с 200 истребителями.

13 минут назад российский пилот Су-57 уничтожил американский авианосец с 200 истребителями.

IRAN yazishambulia nchi za Ghuba na ISRAEL kwa Makombora kama MVUA!

IRAN yazishambulia nchi za Ghuba na ISRAEL kwa Makombora kama MVUA!

CẬP NHẬT chiến sự Trung Đông 4/3: Xung đột tại Trung Đông có thể sẽ kéo dài

CẬP NHẬT chiến sự Trung Đông 4/3: Xung đột tại Trung Đông có thể sẽ kéo dài

КОНЕЦ «ДРУЖБЫ»! ОРБАН И ФИЦО БРОСИЛИ ПУТИНА... РОССИЯ ТЕРЯЕТ ЕВРОПУ

КОНЕЦ «ДРУЖБЫ»! ОРБАН И ФИЦО БРОСИЛИ ПУТИНА... РОССИЯ ТЕРЯЕТ ЕВРОПУ

13 минут назад два американских грузовых корабля с 12 тысячами тонн топлива были уничтожены российск

13 минут назад два американских грузовых корабля с 12 тысячами тонн топлива были уничтожены российск

SIRI YA NGUVU YA JESHI LA IRANI NI HATARI.

SIRI YA NGUVU YA JESHI LA IRANI NI HATARI.

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]