HOTUBA YA MHE RAIS DKT MAGUFULI ALIPOZUNGUMZA NA MABALOZI KWENYE SHERRY PARTY, FEB 10,2017
Автор: Adam Gille
Загружено: 2017-02-10
Просмотров: 6564
Описание:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amezialika nchi mbalimbali na wadau mbalimbali wa maendeleo kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano katika kujenga uchumi wa viwanda utakaoiwezesha Tanzania kuingia katika nchi ya kipato cha kati.
Mhe. Rais Magufuli ametoa rai hiyo leo, wakati akihutubia sherehe ya kuaga mwaka mpya kwa Mabalozi na Wawakilishi wa mashirika ya kimataifa (New Year Diplomatic Sherry Party) iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: