MABASI 'MWENDOKASI' KUMWAGIKA DAR KUANZIA FEBRUARI
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2025-01-03
Просмотров: 8233
Описание:
DAR ES SALAAM: MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema Serikali kwa kushirikiana na sekta binafsi imepanga kuleta mabasi zaidi ya 700 kwenye mradi wa mabasi yaendayo haraka maarufu mwendokasi kuhudumia maeneo ya Kimara, Barabara ya Morogoro na Mbagala, Barabara ya Kilwa ili kuhakikisha msongamano unapungua jijini Dar es Salaam.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: