TUKO BENETI OMARI KOPA /T.O.T. TARAAB
Автор: Mwambao muziki wetu
Загружено: 2016-12-29
Просмотров: 26040
Описание: Fundi ukimuita hivyo wala hujakosea kiukweli,Omari kopa anajua na toka afariki bado sijaona mtu wa kuweza kuziba pengo lake.Hii inatoka na kile alichokuwa akikifanya ni cha kipekee,wengi wamejalibu kuimba kama yeye lakini bado hawawezi kuwa yeye.Tufagilieni ndio jina la wimbo naamini utakubaliana na mimi kwa kile ninachokisema.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: