Mama Aliyetembea Na Mkwe Na Kupachikwa Mimba Tanzania Afika Mbele Ya Sheikh Othman Michael
Автор: Ahmed Juma Bhalo
Загружено: 2021-02-01
Просмотров: 13117
Описание:
Mwanamke mmoja jijini Dar es Salaam nchini Tanzania amemfikisha mamake mzazi mbele ya Shekhe Othman Michael baada ya kujuwa kuwa mamake ametembea na mkwewe (mume wa binti yake) kimapenzi na kupachikwa mimba.
Mama aliyetembea na mkwe walikuwa na uhusiano wa kimapenzi na hata kushiriki ngono wakati mke alipokuwa safari ya kibiashara nchini Dubai.
Siri ilijulikana baada ya mama aliyejawa na majuto kumueleza bintiye yaliyojiri na kumuomba msamaha akidai ibilisi alimshinda nguvu.
Mama na bintiye walifika katika ofisi ya Shekhe Othaman Michael ili kusaka suluhuisho.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: