MLINZI ANG`OLEWA MENO TABORA,WANACHUO WAFUKUZWA,RC CHACHA ANG`AKA
Автор: KIMM MEDIA
Загружено: 2026-03-07
Просмотров: 2841
Описание:
Mkuu wa mkoa wa Tabora Paul Matiko Chacha ameagiza kufukuzwa chuo wanachuo 17 wa chuo cha Ardhi Tabora kwa kosa la kuwashambulia walinzi wa chuo hicho.
inaelezwa kuwa walinzi hao wamekua wakizuia wanafunzi hao kuvunja sheria za chuo ikiwemo kutoka na kuingia kiholela chuoni hapo ikiwa ni pamoja na kupita njia zisizo sahihi kutoka chuo na pia kurudi chuoni usiku wa manane.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: