Tume kuchunguza kifo cha mwanafunzi wa UDOM
Автор: Azam TV
Загружено: 2023-05-10
Просмотров: 1264
Описание: Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imeamua kufanya uchunguzi wa kifo cha aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma UDOM Nusura Hassan Abdallah baada ya kuona taarifa zenye kukinzana kuhusiana na kifo chake.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: