Hii hapa ndio Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na JKT, iliyoombwa bungeni kwa mwaka 2024/25
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2024-05-20
Просмотров: 3339
Описание:
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Stergomena Tax ameliomba bunge lipitishe bajeti ya wizara hiyo kiasi cha Sh3.3 trilioni kwa mwaka wa fedha 2024/25.
Tax ameliomba Bunge fedha hizo wakati alipowasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2024 / 2025, jijini Dodoma leo Mei 20, 2024.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: