UTATA WA UNABII WA SHEIKH HAMZA ISSA (NABII ILIYASA-ELIYA) KIBIBLIA
Автор: BAYYINAT DM TV
Загружено: 2018-06-20
Просмотров: 61789
Описание:
Kwa muda mrefu sasa, Sheikh Hamza Issa amekuwa akidai kwamba yeye ndiye Nabii Eliya (Kiarabu iliyasa) kama alivyotajwa na Yesu Kristo kinyume na jinsi Biblia inavyoeleza.
Hebu msikilize wewe mwenyewe nilipokuwa ninahojiana naye kuhusu suala hilo nyumbani kwake.
Usisahau ku subscribe, like, comment na ku share ili wengi waelewe.
Ukiwa na swali tupigie +255 755 680101.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: