Yanga vs Al Ahly leo Al Ahly atoki sababu ni hizi
Автор: KWETU Sport
Загружено: 2026-01-31
Просмотров: 731
Описание:
:
🔥 AL AHLY HATOKI! Hizi hapa Sababu 4 za Yanga Kushinda Leo 🔰🇹🇿
Mchezo wa leo wa CAF Champions League ni vita! Nimepita kwenye takwimu za "Head-to-Head" na fomu ya Yanga nyumbani, na nimekuja na sababu hizi nne kwanini Wananchi wanaondoka na alama 3 kwa Mkapa:
1️⃣ Rekodi ya Ulinzi: Yanga haijawahi kupoteza dhidi ya Al Ahly ikiwa nyumbani tangu 2014.
2️⃣ Goli la Uhakika: Kila mechi waliyocheza Dar, Yanga imefunga goli.
3️⃣ Kwa Mkapa Hatoki Mtu: Fomu ya Yanga nyumbani msimu huu inatisha!
Wewe unaonaje? Waarabu watapindua meza au Wananchi wataendeleza ubabe? 👇
Dondosha utabiri wako wa matokeo kwenye comments! ⚽
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: