LIVE
Автор: JIMBO KATOLIKI IRINGA ONLINE TV
Загружено: 2026-02-12
Просмотров: 1471
Описание:
Karibu ushiriki katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Uzinduzi wa Kanisa la Hija na huduma mbalimbali za Kiroho Parokia ya Bikira Maria Consolata Mshindo Jimbo la Iringa.
Misa hii Takatifu inaadhimishwa na Mhashamu Vincent Cosmas Mwagala, Askofu wa Jimbo katoliki Mafinga akisaidiwa na Mhashamu Romanus Elamu Mihali Askofu wa Jimbo la Iringa
#Endelea kushiriki nasi kutangaza injili kwa njia ya mtandao.
#subscribe
#Like
#Share
#Comment
#Follow
Facebook, Instagram & TikTok @jimbo_katoliki_iringa
You Tube @Jimbokatoliki iringa online tv
@Ahsante.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: