ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Hawatokuwepo Waislam wasio na Uislam - Sheikh Kilemile - Part 1

Автор: Rashid Dilunga

Загружено: 2015-06-08

Просмотров: 3552

Описание: Kwa karne nyingi, Uislam hasa kwa nchi za Magharibi, umeendelea kuwa ni kikwazo kwa maslahi yao. Uliendelea kupigwa vita kwa muda mrefu mpaka walipofanikiwa kuivunja Dola ya Kiislam iliyokuwa na makao makuu yake hapo mjini Islambul uliobadilishwa jina na sasa kuwa Istanbul nchini Uturuki.
Lengo kuu lilikuwa ni kuzinyakua rasilimali zilizoko katika nchi mbalimbali zikiwemo za kiislam. Waliamua kuigawa ardhi ya Dola ya kiislam vipande vipande vya nchi ndogo ndogo ambazo walipeana kuzitawala aidha moja kwa moja au kupitia viongozi wa kiislam walioko katika nchi hizo kama vibaraka wao.
Kama hiyo haitoshi, na hasa baada ya kuona kwamba waislam licha ya kutawaliwa, bado wanao msimamo juu ya dini yao kutokana na kuizingatia Qur’an, juhudi zao zilianza kuelekezwa katika kuwafanya waislam wasiitekeleze Qur’an na hivyo kuwafanya wawe ni waislam majina tu, bila ya kuufahamu na kuufuata uislam unaotakiwa na Mwenyezi Mungu, kama ulivyoelezwa ndani ya Qur’an na katika ufafanuzi wa Mtume Muhammad (S.A.W) uliohifadhiwa ndani ya Vitabu vya Sunnah.
Lakini kwa mujibu wa maelezo ya Sheikh Suleiman Kilemile, watu hawawezi kuitwa ni waislam wasipokuwa ni wenye kuyatekeleza yaliyomo kwenye Qur’an na katika Sunna za Mtume Muhammad (S.A.W). Sasa fuatana na Sheikh upate kuelimika zaidi kupitia Mada hii…

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Hawatokuwepo Waislam wasio na Uislam - Sheikh Kilemile - Part 1

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Hawatokuwepo Waislam wasio na Uislam - Sheikh Kilemile - Part 2

Hawatokuwepo Waislam wasio na Uislam - Sheikh Kilemile - Part 2

Uislam na amani ya Ulimwengu - Sheikh Suleiman Amran Kilemile

Uislam na amani ya Ulimwengu - Sheikh Suleiman Amran Kilemile

KRÓLEWSCY GRAJĄ DALEJ! AWANS W RYTMIE SAMBY! REAL MADRYT - BENFICA, SKRÓT MECZU

KRÓLEWSCY GRAJĄ DALEJ! AWANS W RYTMIE SAMBY! REAL MADRYT - BENFICA, SKRÓT MECZU

صلاة العشاء والتراويح من المسجد الحرام بمكة المكرمة 8 رمضان 1447هـ

صلاة العشاء والتراويح من المسجد الحرام بمكة المكرمة 8 رمضان 1447هـ

Хаос в Нью-Йорке, 4 года войны в Украине, Трамп выступит в Конгрессе

Хаос в Нью-Йорке, 4 года войны в Украине, Трамп выступит в Конгрессе

Chiny i Rosja rzuciły Iran wilkom na pożarcie. Czy Iran przetrwa starcie z USA?

Chiny i Rosja rzuciły Iran wilkom na pożarcie. Czy Iran przetrwa starcie z USA?

История Мухаммеда — человек, изменивший мир | История на ночь

История Мухаммеда — человек, изменивший мир | История на ночь

SHEIKH KILEMILE-MWISHO WA MAISHA YA VIUMBE

SHEIKH KILEMILE-MWISHO WA MAISHA YA VIUMBE

Путешествие по нервной системе человека

Путешествие по нервной системе человека

MUSTAKBALI WA WAYAHUDI KWA MUJIBU WA QUR'AN TUKUFU - SHEIKH SULEIMAN KILEMILE - PART 1

MUSTAKBALI WA WAYAHUDI KWA MUJIBU WA QUR'AN TUKUFU - SHEIKH SULEIMAN KILEMILE - PART 1

Surah Yaseen❤️Surah Yasin❤️Surah Rahman❤️Surah mulk❤️ Surah Muzammil❤️Surah Kahf❤️Yasin Qura#n❤️

Surah Yaseen❤️Surah Yasin❤️Surah Rahman❤️Surah mulk❤️ Surah Muzammil❤️Surah Kahf❤️Yasin Qura#n❤️

ЧТО увидели ВОЯДЖЕРЫ на КРАЮ СОЛНЕЧНОЙ СИСТЕМЫ ?💤Лекция для сна💤 СОН ЗА 5 МИНУТ

ЧТО увидели ВОЯДЖЕРЫ на КРАЮ СОЛНЕЧНОЙ СИСТЕМЫ ?💤Лекция для сна💤 СОН ЗА 5 МИНУТ

Sheikh Kilemile

Sheikh Kilemile

Umuhimu wa Subra katika Maisha ya Mwanadamu - Sheikh Kilemile

Umuhimu wa Subra katika Maisha ya Mwanadamu - Sheikh Kilemile

Как провести лучший рамадан в своей жизни: фундамент, о котором забывают

Как провести лучший рамадан в своей жизни: фундамент, о котором забывают

SHEIKH KILEMILE - UCHAGUZI MKUU NA AMANI YA TANZANIA

SHEIKH KILEMILE - UCHAGUZI MKUU NA AMANI YA TANZANIA

Lengo la kuletwa Mitume na Vitabu- Sheikh Suleiman Kilemile - Part 1

Lengo la kuletwa Mitume na Vitabu- Sheikh Suleiman Kilemile - Part 1

Lengo la kuletwa Mitume na Vitabu vyake - Sheikh Suleiman Kilemile -Part 3

Lengo la kuletwa Mitume na Vitabu vyake - Sheikh Suleiman Kilemile -Part 3

СПИЦЫН. Тайное послание Сталина 3 июля 1941 года, которое власть имущие боятся повторить сегодня

СПИЦЫН. Тайное послание Сталина 3 июля 1941 года, которое власть имущие боятся повторить сегодня

Hatma ya wanaomkataa Mtume S.A.W - Sheikh Kilemile - Part 3

Hatma ya wanaomkataa Mtume S.A.W - Sheikh Kilemile - Part 3

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]