ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Jinsi Wanawake Wanavyotawala Sekta ya Ushirika wa Fedha Tanzania!

Автор:

Загружено: 2026-03-07

Просмотров: 419

Описание: Wanawake wanaendelea kubadilisha sekta ya Ushirika na SACCOS Tanzania kupitia uongozi, uwekezaji na ubunifu wa kidijitali. Lakini je, unajua wanawake wanatumiaje SACCOS kama daraja la mafanikio ya kiuchumi?

Katika episode hii ya Pawa Pod, tunazungumza na ADE Justicia Masinde, mtaalamu wa fedha, mentor wa programu za wanawake na kiongozi katika rasilimali watu wa Tanzania Port Authority (TPA).
Kupitia uzoefu wake katika uongozi na programu ya Women Advancing SACCOS Innovation and Leadership Initiative (WASILI), anafafanua jinsi wanawake wanavyochukua fursa za:
• Uongozi kwenye vyama vya ushirika
• Mikopo ya SACCOS kukuza biashara
• Uwekezaji na ubunifu wa kidijitali
• Kujenga nguvu ya kiuchumi kwa familia na jamii

Pia tunazungumzia tofauti kati ya kuweka akiba na kuwekeza, na jinsi programu ya WASILI inavyotumia mbinu ya Multiplier Effect kubadilisha wanawake 20 kuwa viongozi 400 wenye uwezo wa kiuchumi.
Mambo Muhimu Utakayojifunza
🚀 Jinsi ya kutumia SACCOS kama daraja la uwekezaji
⚖️ Tafsiri ya kauli mbiu ya Siku ya Wanawake Duniani 2026
💡 Jinsi TEHAMA inavyobadilisha mfumo wa ushirika Tanzania
🏗️ Siri ya mafanikio ya Bandarini SACCOS

Hata tukifumba macho, mchango wa wanawake kwenye uchumi na maendeleo ya ushirika Tanzania unaonekana wazi.

🔔 Subscribe kwa mazungumzo zaidi ya uchumi, uongozi na ubunifu:
SCCULT Online TV
📱 Follow:
Instagram: @PawaPod
TikTok: @PawaPod

Je, unatumia SACCOS yako kwa kuweka akiba tu au daraja la uwekezaji?
Tuambie kwenye comments.

#InternationalWomensDay #IWD2026 #PawaPod #SACCOS #Wanawake #WomenLeadership #Ushirika #WomenEntrepreneurs #GiveToGain #Investment #Women #Girls #BandariniSACCOS

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Jinsi Wanawake Wanavyotawala Sekta ya Ushirika wa Fedha Tanzania!

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Real Estate Tanzania Jinsi ya Kumiliki Jengo la Milioni 100 Ukiwa na Milioni 20

Real Estate Tanzania Jinsi ya Kumiliki Jengo la Milioni 100 Ukiwa na Milioni 20

FUNZO: SALIMIA WATU UPATE KITU - MWANAMAMA AOKOA NYUMBA YAKE kwa SALAMU TU NDANI ya SGR

FUNZO: SALIMIA WATU UPATE KITU - MWANAMAMA AOKOA NYUMBA YAKE kwa SALAMU TU NDANI ya SGR"...

Самые странные тайны Израиля, о которых почти никто не говорит

Самые странные тайны Израиля, о которых почти никто не говорит

Siri ya UTAJIRI kupitia SACCOS: USIKOPE kabla ya kutazama video hii!

Siri ya UTAJIRI kupitia SACCOS: USIKOPE kabla ya kutazama video hii!

Hatifungani vs Hisa: Wapi uweke pesa upate faida kubwa 2026 ?

Hatifungani vs Hisa: Wapi uweke pesa upate faida kubwa 2026 ?

MATANGAZO YA JIONII | 17 03 2026 |

MATANGAZO YA JIONII | 17 03 2026 |

Фильм Алексея Семихатова «ГРАВИТАЦИЯ»

Фильм Алексея Семихатова «ГРАВИТАЦИЯ»

Немцы и евреи: ДНК раскрыла тайну, которую скрывали 80 лет

Немцы и евреи: ДНК раскрыла тайну, которую скрывали 80 лет

GRADUATION, BIRTHDAY & NEW YEAR GIFT COMBINED 🎁 | OBINNA'S LEXUS

GRADUATION, BIRTHDAY & NEW YEAR GIFT COMBINED 🎁 | OBINNA'S LEXUS

KIINUA MGONGO KITAKUMALIZA! 😱 Huu ndio MFUMO wa vyanzo 5 vya kipato kila mwezi - CPA Urassa

KIINUA MGONGO KITAKUMALIZA! 😱 Huu ndio MFUMO wa vyanzo 5 vya kipato kila mwezi - CPA Urassa

𝐔𝐍𝐃𝐄𝐑𝐒𝐓𝐀𝐍𝐃𝐈𝐍𝐆 𝐈𝐒𝐎 & 𝐁𝐎𝐓𝐒𝐖𝐀𝐍𝐀 𝐒𝐓𝐀𝐍𝐃𝐀𝐑𝐃𝐒 𝐅𝐎𝐑 𝐇𝐀𝐍𝐃 𝐏𝐑𝐎𝐓𝐄𝐂𝐓𝐈𝐎𝐍 – 𝐄𝐏𝐈𝐒𝐎𝐃𝐄 𝟑4

𝐔𝐍𝐃𝐄𝐑𝐒𝐓𝐀𝐍𝐃𝐈𝐍𝐆 𝐈𝐒𝐎 & 𝐁𝐎𝐓𝐒𝐖𝐀𝐍𝐀 𝐒𝐓𝐀𝐍𝐃𝐀𝐑𝐃𝐒 𝐅𝐎𝐑 𝐇𝐀𝐍𝐃 𝐏𝐑𝐎𝐓𝐄𝐂𝐓𝐈𝐎𝐍 – 𝐄𝐏𝐈𝐒𝐎𝐃𝐄 𝟑4

AFRIKA TUUNGANE : PETITION TO UNITE AFRICANS THROUGH A COMMON AFRICAN LANGUAGE - KISWAHILI

AFRIKA TUUNGANE : PETITION TO UNITE AFRICANS THROUGH A COMMON AFRICAN LANGUAGE - KISWAHILI

БОЛЬШОЙ БАРЬЕРНЫЙ РИФ: Жизнь в океане | Империя Кораллов | Документальный фильм | TERRA CORE | 4K

БОЛЬШОЙ БАРЬЕРНЫЙ РИФ: Жизнь в океане | Империя Кораллов | Документальный фильм | TERRA CORE | 4K

🔴HAPA NA PALE KUTOKA MANYARA, MACHI 17, 2026

🔴HAPA NA PALE KUTOKA MANYARA, MACHI 17, 2026

WINA POLAKÓW. NIEMCY WYMYŚLAJĄ HISTORIĘ NA NOWO

WINA POLAKÓW. NIEMCY WYMYŚLAJĄ HISTORIĘ NA NOWO

SUALA LA KUSIMAMISHWA KWA SAFARI ZA TREN YA SGR DAR – DODOMA WAKATI WA MVUA SERIKALI YATOA KAULI HII

SUALA LA KUSIMAMISHWA KWA SAFARI ZA TREN YA SGR DAR – DODOMA WAKATI WA MVUA SERIKALI YATOA KAULI HII

PENSHENI HAITOSHI! 😳 Jenga Vyanzo 5 vya Mapato Kabla ya Kustaafu - CPA Urassa

PENSHENI HAITOSHI! 😳 Jenga Vyanzo 5 vya Mapato Kabla ya Kustaafu - CPA Urassa

Ваши ногти предупреждают о болезнях — 99% людей это игнорируют

Ваши ногти предупреждают о болезнях — 99% людей это игнорируют

Dakika 59 Kishimba akimwaga Nondo akizungumza na wanafunzi wa mwaka wa tatu UDOM

Dakika 59 Kishimba akimwaga Nondo akizungumza na wanafunzi wa mwaka wa tatu UDOM

MIKOPO YA NYUMBA NA MAJENGO(MORTGAGE )-TANZANIA

MIKOPO YA NYUMBA NA MAJENGO(MORTGAGE )-TANZANIA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]