Idadi ya vifo Nairobi yafikia 25 huku shughuli za uokoaji zikiendelea
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-03-07
Просмотров: 19951
Описание: Watu 25 wamethibitishwa kufariki huku 29 wakiokolewa kufuatia mvua kubwa iliyonyesha ijumaa usiku na kusababisha mafuriko. Kaunti ya Nairobi iliathirika pakubwa na mafuriko hayo huku vifo vya watu 23 vikiripotiwa
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: