Safari ya kutisha kuvuka bahari kuelekea Ulaya
Автор: VOA Swahili
Загружено: 2022-05-15
Просмотров: 983
Описание:
Mji wa pwani wa Mbour nchini Senegal, una utamaduni mkubwa katika uvuvi. Pia una heshimiwa sana kwa kuwa mji muhimu kwa wahamiaji wa Afrika magharibi wanaoanzia hapo safari zao, wakiweka maisha yao hatarini kwa safari za baharini kuelekea visiwa vya Canary hadi ulaya.
Baadhi ya wahamiaji wanaondoka huko wakitumia boti ndogo zinazojulikana kama mitumbwi, hufanikiwa katika safari yao.
Lakini tangu mwaka 2020, kadri idadi ya wahamiaji inavyoengezeka, ndivyo masaibu yaliukumba mji wa Mbour.
Kila mwaka, maelfu ya wahamiaji wamepotelea baharini. Wengine wamerudi wakiwa na msongo mkubwa wa mawazo kuhusu safari yao.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: