CHAMPIONI, SPOTI XTRA BABA LAO, NDINGA MPYA GUMZO KILA KONA!
Автор: Global TV Online
Загружено: 2020-03-26
Просмотров: 193
Описание:
CHAMPIONI, SPOTI XTRA BABA LAO, NDINGA MPYA GUMZO KILA KONA!
BAHATI nasibu ya Chomoka na Gari Mpya iliyoanzishwa na Kampuni ya Global Publishers kupitia magazeti yake ya michezo ya Championi na Spoti Xtra, imeendelea kushika kasi katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar.
Timu ya masoko ya Global Publishers, jana Februari 27, 2020, ilizunguka katika mitaa mbalimbali ya jiji hilo kuitangaza bahati nasibu hiyo, ambapo waligawa zawadi mbalimbali kwa wasomaji wa Championi na Spoti Xtra.
Uzinduzi rasmi wa bahati nasibu hiyo ulifanyika jana Alhamisi katika Ofisi za Global Publishers zilizopo Sinza Mori jijini Dar, ambapo Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Athuman Nyamlani alikuwa mgeni rasmi akimuwakilisha Rais wa TFF, Wallace Karia.
Bahati nasibu hiyo inatarajiwa kudumu kwa takribani miezi mitatu na mshindi wa jumla atajinyakulia gari mpya aina ya Toyota Funcargo huku wengine wakizoa simu mpya na zawadi nyingine kibao kila wiki.
JIONEE KILICHOJIRI MTAANI..
NA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE
( +255 784 888982)
( +255 676 229628)
Email: [email protected]
[email protected]
HABARI MPYA DAILY:
http://bit.ly/habarimpya
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
GLOBAL RADIO TV:
http://bit.ly/255globalradio
EXCLUSIVE INTERVIEW:
http://bit.ly/exclusive_interviews
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
Subscribe http://bit.ly/globaltvonline
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: