NI YESU
Автор: FEPASI PATRICK 6.3K
Загружено: 2026-02-10
Просмотров: 566
Описание:
Wimbo wa Imani wenye kueleza Nguvu , Msaada, kiongozi , Taa na Mpaji katika Maisha yetu
Kusema Ni Ye su pekee mwenye uwezo na Nguvu za kusimamisha tena imani yetu katika matendo yetu na juhudi zetu
Tukiwa tunausikiliza wimbo huu
unatukumbusha kuwa Mwenyezi Mungu aliyetuumba sisi wanadamu anazijua Haja zetu kama wanae hivyo kwake kuna kila kitu
Kazi yetu kubwa ni kujinyenyekeza mbele zake na kumwambia Bwana kwamba tunakuhitaji katika maisha yetu
Ee MUNGU tunakuomba kaa nasi utuongoze kuishi vema katika hiii Dunia Tunajua ya kwamba kwako kuna kila kitu na tukikuomba utatupatia Amina
#worshipmusic #music #injilitamu #gospelmusic #worshipmusic #MUNGU #viralvideos #moreviews #watching
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: