Annoint Amani - Yeshua Bwana Wangu (official Music video)
Автор: Dr. Annoint Amani
Загружено: 2021-08-18
Просмотров: 618901
Описание:
#yeshuabwanawangu#annointamani#
Yeshua ni jina la Yesu kwa rugha ya kiebrania kutoka Israel,
Yeshua
Kwa rugha ya kiswahili anaitwa Yesu,
Kwa kiingereza yani English anaitwa Jesus,
Lakini Israel wanamuita Yeshua,
Yeshua ndo jina halisi lililo tafsiriwa kwa rugha zote duniani ukiacha Israel.
(WIMBO HUU UMEANDIKWA NA KUIMBWA KWA UWEZO WA MUNGU KUPITIA MTUMSHI WAKE ANNOINT AMANI)
Lengo kuu ni kumsifu Yeshua yani Bwana Yesu kwa sehemu ndogo tu ambayo Mungu mwenyewe ame iruhusu,
1Nikumpa Yeshua yani Yesu sifa yake ndogo kati ya kubwa na nyingi alizo nazo,
2,Ni ili watu wengine wamjue Yeshua yani Yesu kwa undani zaidi,
Na kumuona kwa mzamo mpya mkubwa usio wa kawaida ya siku zote.
Song,Yeshua Bwana wangu
Artist,Annoint Amani
Album, Mimi ndie Mungu pekee
Booking,
+255767240181= +255755099942)
Directed by Yuzzo +255 683 550 697
(Hanscana Brand Production)
AUDIO A.E A Tones pro by meddy
DAR ES SALAAM TANZANIA )
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: