ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AKIELEZEA ALIVYOKAA KARANTINI BAADA YA KUTOKA NCHINI CUBA

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2020-04-03

Просмотров: 3163

Описание: [14:01, 4/3/2020] +255 774 848 800: Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewatahadharisha Wananchi kuzingatia kwamba Karantini wanaowekewa Watu walioingia Nchini kutoka Nje ya Nchi sio adhabu bali ni utaratibu unaozingatia Muongozo wa Wataalamu wa Afya katika mapambano dhidi ya Virusi vya Corona vinavyosababisha Mafua na Homa Kali ya Mapafu.

Balozi Seif Ali Iddi ametoa tahadhari hiyo huko Nyumbani Kwake Mtaa wa Kama Kaskazini Kidogo ya Mji wa Zanzibar wakati akitoa Taarifa kwa Umma baada ya kumaliza muda wake wa wa mapumziko ya Siku 14 zinazomuwajibika Kila Msafiri aliyeingia Nchini kutoka nje ya Nchi kwa mujibu wa Wataalamu.

Hata hivyo Balozi Sif alisema kwa mujibu wa Wataalamu wa Sekta ya Afya walimshauri aendelee kuongeza Siku Saba Zaidi ili kumaliza vyema Karantini hiyo.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar aliwapongeza Mawaziri wa Afya wa Serikali ya Muungano waTanzania na ile ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa jitihada wanazoendelea kuzichukuwa katika kuipatia Jamii Taarifa sahihi juu ya muenendo mzima wa Virusi vya Corona.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AKIELEZEA ALIVYOKAA KARANTINI BAADA YA KUTOKA NCHINI CUBA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU Mhe OTHMAN MASOUD OTHMAN MAKAMO WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR.

MAMBO USIYOYAJUA KUHUSU Mhe OTHMAN MASOUD OTHMAN MAKAMO WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR.

Jamii yaonywa kuacha kupuuza tahadhari zitolewazo na Serikali juu ya magonjwa yakuambukiza.

Jamii yaonywa kuacha kupuuza tahadhari zitolewazo na Serikali juu ya magonjwa yakuambukiza.

"UONGOZI SI KUTAFUTA UTAJIRI, NI KUTUMIKIA WANANCHI" - BALOZI SEIF ALI IDDI

Makamu wa 2 wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi amewataka wafanyabiashara wa Urusi kuwekeza nchini.

Makamu wa 2 wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi amewataka wafanyabiashara wa Urusi kuwekeza nchini.

HOFU YAZIDI KUTANDA IRAN, YASHAMBULIA MAKAO MAKUU WAKURDI WAKIHOFIA...

HOFU YAZIDI KUTANDA IRAN, YASHAMBULIA MAKAO MAKUU WAKURDI WAKIHOFIA...

AWAMU YA NANE NA ZANZIBAR MPYA

AWAMU YA NANE NA ZANZIBAR MPYA

WAZEE WAPAZA SAUTI ZANZIBAR “MSIKATE TAMAA WATU”

WAZEE WAPAZA SAUTI ZANZIBAR “MSIKATE TAMAA WATU”

KITUO CHA DALADALA KILICHOFUNGWA KWASABABU YA KIUSALAMA CHAFUNGULIWA RASMI ZANZIBAR

KITUO CHA DALADALA KILICHOFUNGWA KWASABABU YA KIUSALAMA CHAFUNGULIWA RASMI ZANZIBAR

SHUHUDIA ALICHOKIFANYA MAKAMO WA PILIWA RAIS KIJIJINI KWAO

SHUHUDIA ALICHOKIFANYA MAKAMO WA PILIWA RAIS KIJIJINI KWAO

Армяно-турецкая война. Последняя попытка возродить Великую Армению

Армяно-турецкая война. Последняя попытка возродить Великую Армению

ZAECA yawaburuta mahakamani wahasibu, maafisa manunuzi na maafisa wa makampuni kwa wizi wa mabilioni

ZAECA yawaburuta mahakamani wahasibu, maafisa manunuzi na maafisa wa makampuni kwa wizi wa mabilioni

Нахичеван – запланированная операция. Как будет действовать Алиев. Владимир Погосян

Нахичеван – запланированная операция. Как будет действовать Алиев. Владимир Погосян

MKURUGENZI MPYA WA ZSSF AANZA KAZI NAMNA HII

MKURUGENZI MPYA WA ZSSF AANZA KAZI NAMNA HII

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ashiriki kumuaga Magufuli

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ashiriki kumuaga Magufuli

ZRA Yapiga Hodi Kisiwani Tumbatu

ZRA Yapiga Hodi Kisiwani Tumbatu

🔴#LIVE: GOOD MORNING KUTOKA ZANZIBAR, TUNAZINDUA RASMI WASAFI FM ZANZIBAR

🔴#LIVE: GOOD MORNING KUTOKA ZANZIBAR, TUNAZINDUA RASMI WASAFI FM ZANZIBAR

Msimamo wa watu wa Kaskazini Unguja kuhusu mustakabali wa GNU

Msimamo wa watu wa Kaskazini Unguja kuhusu mustakabali wa GNU

ONA MTAMBO HUU WA MAJI ULIVYOWASHWA NA ZAWA

ONA MTAMBO HUU WA MAJI ULIVYOWASHWA NA ZAWA

Mkurugenzi Mkuu ZAECA uso kwa uso na Kamati ya Ulinzi na Usalama Kaskazini Pemba.

Mkurugenzi Mkuu ZAECA uso kwa uso na Kamati ya Ulinzi na Usalama Kaskazini Pemba.

ZANZIBAR: AFARIKI DUNIA BAADA YA KUNASA KWENYE NYAYA ZA UMEME

ZANZIBAR: AFARIKI DUNIA BAADA YA KUNASA KWENYE NYAYA ZA UMEME

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]