Wachambuzi wa soka waisifu Mbeya City namna walivyoibana Yanga
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-10-01
Просмотров: 9349
Описание:
VIWANJANI: “Malale alijua udhaifu wa timu yake na ubora wa timu yake, akaja na mbinu akaweka basi lake vizuri”
Mchambuzi wa soka Andrew Kingamkono anasema mpango aliokujanao Kocha Malale wa Mbeya City kuikabili Yanga SC kwenye mchezo wa jana wa NBC Premier League uliopigwa katika dimba la Sokoine Mbeya, ulifanya kazi vizuri.
Kwa upande wa mchambuzi Rashidy Hamis amesema Mbeya City wanapaswa kupongezwa kwa namna walivyocheza jana.
#Viwanjani
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: