Biashara I Wafanyibiashara wahimiza kulipwa kwa madeni yaliyopo
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2026-02-05
Просмотров: 75
Описание:
Wafanyibiashara wamerejelea miito ya kulipwa kwa madeni yaliyopo katika mashirika ya serikali na kukingwa kwa zabuni za umma kwa minaajili ya kampuni za humu nchini, wakionya kwamba kucheleweshwa kwa malipo na kutofikiwa kwa kandarasi za umma kunaathiri biashara ndogo ndogo na za kadri. Katibu wa uwekezaji na usimamizi wa mali ya umma Cyrell Odede, amesema mikakati inatekelezwa kuweka nyakati mahsusi za malipo ili kurejesha imani ya wasambazaji bidhaa. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa biashara.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: