ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

YANGA SC 2-2 BIASHARA UNITED: MAGOLI NA MIKWAJU YA PENATI (5-4): (ASFC – 31/01/2019

Автор: Azam TV

Загружено: 2019-01-31

Просмотров: 1110655

Описание: Vijana wa Jangwani, Yanga SC leo wamefanikiwa kutinga hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC) baada ya kuitupa nje Biashara United kwa mikwaju ya penati 5-4 kufuatia sare ya mabao 2-2 katika muda wa kawaida wa dakika 90.

Mchezo huo wa raundi ya nne ya michuano hiyo umepigwa kwenye Dimba la Taifa Jijini Dar es Salaam na kushuhudia wenye Yanga wakifanya kazi ya kusawazisha kila wanapofungwa.

Biashara United walianza kwa bao la penati lililofungwa na Wazir Jr. dakika ya 3 kabla ya Yanga kusawazisha kupitia kwa Amissi Tambwe akifunga kwa penati pia dakika ya 9.

Biashara United wakaongeza bao kupitia kwa Innocent Edwin dakika ya 40, lakini Yanga wakaongeza kasi ya mashambulizi na kufanikiwa kuchomoa bao hilo dakika ya 74 kupitia kwa Heritier Makambo na kufanya mchezo umalizike kwa sare y mabao 2-2.

Ilipofuata mikwaju ya penati, Yanga walifunga penati zote tano kupitia kwa Heritier Makambo, Paul Godfrey, Ibrahim Ajibu, Thabani Kamusoko na Matheo Anthony, huku Biashara United wakikosa penati moja iliyopigwa na Tariq Seif.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
YANGA SC 2-2 BIASHARA UNITED: MAGOLI NA MIKWAJU YA PENATI (5-4):  (ASFC – 31/01/2019

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

ALLIANCE FC 1-1 YANGA SC (P:3-4): MAGOLI NA MIKWAJU YA PENATI (ASFC - 30/3/2019)

Kisinda, Sarpong wanogesha Siku ya Mwananchi, Yanga ikiipiga 2-0 Aigle Noir; Tazama Highlights

MZEE SAID!SELEMAN ALIUSHIKA MPIRA KABLA YA GORI NA LAZMENI NDYO ALITAFSIRI IVYO/YANGA ATUWAFUNG NG'O

Największe tunele Iranu zawaliły się! 300 000 irańskich żołnierzy UTKNĘŁO bezradnie!

YANGA AFRICAN VS JS KABYLINE 3–0 Highlights & goals Caf champions #football #engineering #yangasc

🛑FRIJI BOVU ALIPUKA ,  SIMBA WAMEONEWA FAINI MILIONI 22, WAMEMFUNGIA MWAMUZI HAKI YA SIMBA IKO WAPI?

Largest Lion Pride Ever Blocking Road In Kruger Park

BROTHER K ALIVOMKIMBIZA SHARO BARO WA KIHAYA KATIKA MASHINDANO HAYA

HARUNA NIYONZIMA: NIPO TAYARI KUCHEZA YANGA BURE/ PACOME MCHEZAJI HATARI/ NILIUMIA KUCHOMEWA JEZI

adu pinalti antara ssb ceria depok vs nusantara di turnamen hawai beji ! seru banget gaes

SIMBA WAAMBULIA USHINDI MWEMBAMBA kwa TIMU YA DARAJA LA KWANZA.

Yanga 3-3 Coastal Union (Pen: 4-1) | Highlights | Fainali ASFC 02/07/2022

MCHOME MAPOVU ACHAFUKWA ADHABU YA MWALIMU NI NDOGO/KAPENDELEWA BANDA KAONEWA/SIMBA UCHAWI

Mteja kuleta kizaa zaa Saluni - Kawaponza wenzie

INJIA HERIS‼️ AWAJIBU SABABU YA WACHEZAJI YANGA  KUWA WABOVU | KUMBE KUNA MTU ANAMUINGIZA CHAKA⁉️

Konde Boy Harmonize akwea waya kama komandoo Siku ya Mwananchi

DOGO SELE NA BAUNSAWAKE  WAMEGOMBANA

DOGO SELE NA BAUNSAWAKE WAMEGOMBANA

SIMBA 0-2 YANGA | Jikumbushe Simba walivyopigwa na Yanga wiki 4 kabla ya uchaguzi mkuu - 26/9/2015

LIVE: FULLTIME: SIMBA 2-0 B19FC, CRDB BANK FEDERATION CUP 7/3/2026

NABII TITO KUMBE CHIZI, JIONEE KAMANDA ALIVYOMTOA NISHAI!

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]