UFUGAJI WA SAMAKI, FURSA KWA VIJANA
Автор: Dambwe Tv
Загружено: 2025-12-05
Просмотров: 341
Описание:
UFUGAJI WA SAMAKI FURSA KWA VIJANA!
Ufugaji wa samaki sasa umefika Kisarawe, ukionyesha kuwa nia ikija, njia hupatikana.
Hii ni nafasi nzuri kwa vijana kwani soko la Dar es Salaam liko karibu na gharama za usafirishaji ni ndogo. Kwa ujuzi wa kisasa, vijana wanaweza kujiajiri na kuinuliwa kiuchumi kupitia ufugaji huu.
#dambwetv
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: