Mfugaji akadiria hasara ya mamilioni ya pesa Lamu baada ya ng’ome 53 kufariki
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-02
Просмотров: 6122
Описание: Mfugaji mmoja kwa jina Burale Korio anakadiria hasara ya zaidi ya shillingi million saba baada ya Ng'ombe wake 53 kufa katika mazingira tatanishi ,tukio hili limetokea katika kijiji cha Maleli Witu kaunti ya Lamu. mifugo hao wanadaiwa kula mimea yenye sumu mashambani.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: