NGUVU YA AKILI KATIKA KUPATA UTAJIRI |Bob Proctor, Think and Grow Rich & The Science of Getting Rich
Автор: James Atilio
Загружено: 2026-01-23
Просмотров: 1117
Описание:
Katika video hii ya kipekee, Bob Proctor anaelezea kwa kina safari yake ya maisha—kutoka hali ya maisha magumu, kukosa mwelekeo, hadi kufanikiwa na kutimiza ndoto zake kubwa.
Bob Proctor anasimulia jinsi:
Alivyokuwa hana maisha mazuri wala matumaini ya mafanikio
Alivyokutana na mtu aliyempa kitabu Think and Grow Rich cha Napoleon Hill
Baadaye akakutana na Conant, aliyempa kitabu The Science of Getting Rich cha Wallace D. Wattles
Na jinsi alivyoambiwa afuate kile kilichoandikwa ndani ya kitabu hicho bila kubadilisha chochote
Kupitia Sayansi ya Kupata Utajiri, Bob Proctor alielewa kuwa:
Mafanikio si bahati, bali ni SAYANSI
Utajiri huanza akilini kabla haujaonekana kwenye maisha ya mtu
Kitabu hiki kilimfundisha namna ya kufikiri, kuamini, na kuchukua hatua kwa kufuata sheria za ulimwengu—na ndipo safari yake ya mafanikio ilipoanza kubadilika kabisa.
Habari njema!
Mimi pia nimekitafsiri na kuandika kitabu cha The Science of Getting Rich kwa Kiswahili, kwa lugha rahisi na inayoeleweka, ili kila mtu aweze kunufaika na maarifa haya muhimu.
Bei: Tsh 4,000 tu
Wasiliana nami kupitia namba:
0759 551 270
Usikose fursa ya kubadilisha namna unavyofikiri na kuanza safari yako ya mafanikio leo.
#SayansiYaKupataUtajiri
#BobProctor
#TheScienceOfGettingRich
#ThinkAndGrowRich
#Mafanikio
#Utajiri
#AkiliNiUfunguo
#NafasiYaMafanikio
#VitabuVyaMafanikio
#MotivationSwahili
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: