MBUNGE JERRY SILAA AHOJIWA KWA DAKIKA 120 NA KAMATI, M/KITI AFUNGUKA BAADA YA MAHOJIANO
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-08-24
Просмотров: 20550
Описание:
Mwenyekiti wa Kamati Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge Emmanuel Mwakasaka amesema Silaa ameonyesha ushirikiano na kwamba wamemaliza awamu ya kwanza kusikiliza shauri la shahidi huyo na wataendelea nalo kesho kutwa
Amesema ujio wa Silaa Kwenye kamati hiyo ni kwa mujibu wa wito uliotewa na Spika wa Bunge Job Ndugai alioutoa Agosti 21 Mwaka huu kujibu tuhuma mbalimbali zinazomkabili ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: