Darasa la filamu kwa lugha ya kiswahili limeanzishwa na Timoth Conrad
Автор: Timamu Movies Production
Загружено: 2020-12-26
Просмотров: 893
Описание:
Muongozaji wa filamu nchini Tanzania aishiye nchini Marekani ameanzisha darasa maalum la kufundisha masomo ya filamu kwa lugha ya kiswahili.
Darasa litatolewa kwa kupitia mtandao kwa njia ya video, ili kujisajili unaweza kutembelea website ya https://www.swahilifilmclass.com
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: