Dr Annoint Amani - Ndoa ni uchizi ( Official music Video )
Автор: Dr. Annoint Amani
Загружено: 2025-06-09
Просмотров: 680877
Описание:
#ndoaniuchizi#drannointamani#
Ndo ni uchizi ni wimbo unaoielezea ndoa kwa undani zaidi,Mtu lazima ajue ukweli kuwa unapoamua kuingia kwenye ndoa ni kama umeingia Sayari nyengine nnje ya dunia ,
hivyo ni lazima kujiandaa na nyakati tofauti ndani ya ndoa ,
👇
Furaha.
huzuni
Uchungu,
Maumivu,
usaliti,
kuachwa au kuacha,
na mengine mengi,
Sasa mtu pekee anaweza kuyafuata mambo haya kwa makusudi kabisa ni kichaa tu.
ndio sababu tutatumia neno uchizi ,
maana mtu akikamatika na mapenzi hasiki wala haambiwi lolote na mtu🙏 )
Mtunzi,Mwandishi na mwimbaji ni
Dr Annoint Amani
Tiktok ,Dr Annoint Amani
Whatsapp & call
+255755099942 = +255767240181 )
👇
Video,Directed by Yuzzo
+255 683 550 697 )
Audio,A.E.A Tones prod by Meddy
( Dar es Salama Tanzania 🇹🇿)
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: