Wafugaji waliopigiwa mnada mifugo yao, wasaidiwa mifugo mingine
Автор: Azam TV
Загружено: 2022-08-03
Просмотров: 15097
Описание: Wafugaji wa jamii ya Kimaasai kutoka Vijiji 11 vya Tarafa ya Enduimet, wilayani Longido, mkoani Arusha wamejitolea mifugo inayojumuisha ng’ombe, mbuzi na kondoo na kuwapa wenzao ambao wamekuwa kwenye changamoto ya maisha baada ya mifugo waliyokuwa wakiimiliki kupigwa mnada.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: