Hersi Said akumbushia namna alivyoingia katika uongozi Yanga
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-10-14
Просмотров: 12235
Описание:
KUTOKA GYMKHANA: Rais wa Yanga SC, Hersi Said amesimulia namna alivyoingia ndani ya timu hiyo akikumbushia hafla #KubwaKuliko iliyofanyika mwaka 2020.
Hersi ameanzia kwenye ngazi ya ushabiki akisema kuwa Yanga pia ilikuwa timu ya baba yake mzazi.
Kiongozi huyo akumbushia pia usajli wa mwanzomwanzo, akimtaja Haruna Nionzima na Bernard Morrison.
Kwa sasa Hersi ni Mwenyekiti wa Umoja wa Klabu Afrika (ACA) lakini pia hivi karibuni aliteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya FIFA kwa ngazi ya klabu.
#Yangasc #HersiSaid #Hersi #Yanga #IamHersi #ACA #FIFA
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: