MAKOSA 7 YANAYO ZUIA RIZIKI YAKO KWENYE UTAFUTAJI WAKO
Автор: GR hamasa wisdom
Загружено: 2026-02-22
Просмотров: 14649
Описание:
MAKOSA 7 YANAYO ZUIA RIZIKI YAKO KWENYE UTAFUTAJI WAKO
Je, unajua mara nyingi riziki haikimbii mtu, bali tabia mbaya, mawazo hasi, na mazingira yasiyo sahihi ndizo zinazozuia mafanikio yako?
Katika video hii ya G R Hamasa Wisdom, tunachambua makosa 7 yanayoweza kukufungia mlango wa riziki bila hata kujua:
1️⃣ Dhamira chafu na nia ya ushindani
2️⃣ Marafiki wasiokuwa na malengo na future
3️⃣ Kukosa mipaka kwenye kazi au biashara yako
4️⃣ Kusaidia kila mtu kwa sababu ya sifa
5️⃣ Kutangaza mipango yako ya baadaye kwa kila mtu
6️⃣ Kulala ovyo na kuahirisha hatua
7️⃣ Kuogopa kuwa peke yako
📌 Video hii itakuonyesha jinsi ya kubadilisha mawazo, marafiki, nidhamu, na maamuzi yako ya kila siku ili riziki ifuate tabia zako safi.
💡 Kumbuka: Dunia inawapa watu kile wanachostahili kulingana na nidhamu yao. Leo unaweza kuamua:
“Ninaacha kuwa toleo la zamani la mimi, na kuanza kuwa mtu mpya wa nidhamu, maono, na mafanikio.”
🔔 Subscribe G R Hamasa Wisdom kwa mafundisho ya kila siku, hekima ya maisha, na motivation ya kweli.
📝 Comment:
“Leo ninaanza kufungua mlango wa riziki yangu.”
#GRHamasaWisdom
#RizikiNaMaisha
#MotivationSwahili
#HekimaYaMaisha
#MindsetSwahili
#AkiliKali
#MotivationMonday #SelfDiscipline #WorkHardPlayHard #MotivationalPodcast #PersonalGrowth #SuccessMindset #NobodyCaresWorkHarder #DoItForYou #HustleInspiration #StayMotivated#1HrMotivation#AnimeMotivation#MotivationalVideo
#NdotoNaMatokeo
#NidhamuNaMaisha
#MaishaYaBusara
#Ufanisi
🔥 💰🧠🔥💪🌟🙌🦁✨📈📚
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: