Jinsi ya kupika biriani rahisi ya kuku/Jinsi ya kuondoa shombo ya kuku/chicken biryani
Автор: jikoni kwa mama Swaumu
Загружено: 2024-06-14
Просмотров: 41600
Описание:
• jinsi ya kutengeneza biriani masala nyumba...
kwa rojo ya biriani/for chicken curry
kuku nusu/chicken drum sticks 500g
vitunguu robo/onions 250g
nyanya 4/4 tomatoes
maziwa mtindi kikombe 1/1 cup of yogurt
vitunguu swaumu kjk 1/garlic 1tbsp
tangawizi kjk 1/ginger 1tbsp
viungo vya biriani kjk 1/biryan masala 1tbsp
giligilani ya unga kjk 1/coriander powder 1tbsp
manjano nusu kjk/tumeric half of spoon
paprika nusu kijiko/paprika half of spoon
majani ya giligilani kiasi/coriander leaves
kwa wali/ for the rice
mchele kl1/ rice 1kg
maji glass 4/water 4 glasses
mdalasini vibanzi 2/ 2 cinnamon sticks
iriki punje 3/3 cardamom
karafuu 3/3 cloves
shamari nusu kijiko/fennel seeds half of spoon
mafuta ya kupikia vijiko 2/cooking oil 2tbsp
limao kipande/lemon
chumvi kiasi chako/salt
rangi ya chakula vijiko 2/food colour 2 tbsp
#biriani kuku #chicken biryani #jinsi ya kuondoa shombo ya kuku #shombo ya kuku #broiler chicken #mapishi ya kuku #chicken recipe#chicken curry #mchuzi wa kuku #njia rahisi ya kutoa shombo ya kuku
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: