DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 13.03.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2026-03-14
Просмотров: 18328
Описание:
Hujambo na karibu, tuliyo nayo mchana huu ni pamoja na:
Iran yaonya kuwa maandamano yoyote yatakayozuka dhidi ya utawala wa nchi hiyo yatakabiliwa kwa nguvu nzito kushinda iliyotumika mwezi Januari
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewasili mjini Paris kufanya mazungumzo na Rais Emmanuel Macron kuhusu kuongeza shinikizo dhidi ya Urusi
Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema ameshtushwa na ongezeko la mashambulizi ya ndege zisizo na rubani nchini Sudan
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast #dwkiswahiliasubuhi #Matangazo #DuniaYetu #dwswahilinews.
Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: