Rais na mkewe wapokezwa kadi zao za Huduma Namba
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2020-10-20
Просмотров: 7739
Описание: Rais Uhuru Kenyatta na mkewe Margaret Kenyatta leo wamepokea kadi zao za huduma namba, kwenye hatua ambayo rais amesema imekamilisha ngoja ngoja ya kadi hiyo. Aidha, wakenya wengine 10 wamepokezwa stakabadhi zao. Na kama anavyoarifu Stephen Letoo, serikali sasa inasubiri bunge kumuidhinishwa kamishna wa deta ili wakenya waanze kupata namba zao.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: