VIDEO: MWANZO MWISHO WAKITAJWA WASHINDI KURA ZA MAONI VITI MAALUM MWANZA USIKU HUU
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2020-07-23
Просмотров: 6473
Описание: Hatimae zoezi la kuwapata washindi wa kura za maoni nafasi ya Ubunge Viti maalum makundi mbalimbali mkoa wa Mwanza limekamilika usiku huu baada ya kuchukua saa zaidi ya 15 tangu kuanza hadi kukamilika saa 5 usiku kwenye uwanja wa CCM Kirumba ambapo naambiwa ilifungwa video projector ili kurahisisha kazi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: