UJENZI WA KITUO CHA MABASI NA MASOKO YA KISASA KAHAMA – UBORA, KASI NA MAENDELEO
Автор: Sihotech Engineering
Загружено: 2025-03-12
Просмотров: 3489
Описание:
Sihotech Engineering Co. Ltd & AMJ Global Multi Contractors Co. Ltd JV tunajenga Kituo cha Kisasa cha Mabasi na Masoko mjini Kahama kwa kutumia teknolojia ya kisasa, mitambo ya kisasa na wataalamu wenye uwezo na uzoefu wa kutosha ili kuhakikisha ubora na ufanisi wa hali ya juu.
Mradi huu utaimarisha huduma za usafiri, kuinua biashara za ndani, kuweka mazingira bora ya biashara na kuchochea uchumi wa Kahama. Pia, utatoa ajira kwa wakazi na kubadilisha taswira ya mji kwa kutumia ufundi na teknolojia ya kisasa katika kila hatua ya ujenzi.
Fuatilia hatua kwa hatua maendeleo ya ujenzi huu mkubwa na ujionee jinsi tunavyobadilisha taswira ya mji wa Kahama. Usisahau KUSUBSCRIBE kwa taarifa za kina kuhusu maendeleo ya mradi huu na miradi mingine mikubwa tunayotekeleza.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: