Wanaume waliohama Ngorongoro waonywa matumizi mabaya ya fedha "Sauti nyororo zinawaponza"
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2022-11-15
Просмотров: 4468
Описание:
Wananchi waliohamia kutoka Wilaya ya Ngorongoro kwenda Handeni mkoani Tanga hasa wanaume, wameonywa kuacha kufanya matumizi mabaya ya fedha walizopewa na Serikali kwa kujiingiza kwenye makundi ya starehe na kutumia vilevi hali inayowafanya kutelekeza familia zao.
Onyo hilo limetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Siriel Mchembe wakati akiongea na wananchi hao na kusema kuwa kumeibuka suala la wanaume kutumia vibaya pesa walizopewa na serikali bila kushirikisha wake zao na familia.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: