POLISI WAFAFANUA MFANYABIASHARA ALIYEUAWA MAKETE
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2025-10-02
Просмотров: 865
Описание:
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe limetoa ufananuzi wa tukio la kuuawa kwa Mfanyabiashara aitwaye Elia Juma Msabaha mwenye umri 27, huko katika kijiji cha Misiwa, kata ya Ipelele Wilaya ya Makete mkoani Njombe.
Mfanyabiashara huyo alikuwa ni mfanyabiashara wa mazao ya kilimo na makazi yake yalikuwa jijijini Dar es Salaam tarehe 28.08,2025 aliondoka Dar es Salaam na kuelekea wilayani Makete kwa ajili ya kununua mazao alipofika huko tarehe 29.08.2025 aliuawa na Alfan John Mbilinyi kwa kumpiga na kitu butu kwenye paji la uso kisha kuchimba shimo na kumfukia nyuma ghala lake la kuhifadhia mazao.
Ndugu wa mfanyabiashara huyo walijaribu mawasiliano nae bila mafanikio walifunga safari mpaka Makete na kujaribu kumtafuta lakini hawakufanikiwa kumuona. Waliamua kufika katika kituo cha Polisi Makete na kutoa taarifa ya kutoonekana kwa ndugu yao huyo, jalada lilifunguliwa na uchunguzi ukaanza.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: