WANANCHI WAANDAMANA NA MABANGO ROMBO KISA HAWANA UMEME TANGU UHURU
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-09-26
Просмотров: 10435
Описание:
Wananchi wanaoishi katika kijiji cha Mahorosha na Msaranga katika tarafa ya Mashati wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro wameandamana na mabango yenye jumbe mbalimbali kwa madai yakutokuwekewa umeme tangu Uhuru huku nguzo zilizowekwa chini miaka mitatu zikichukuliwa bila taarifa yeyote
Meneja wa TANESCO wilaya ya Rombo Hassan Juma amekiri kuwepo kwa changamoto hiyo na kusema October mwaka huu Wananchi hao wataanza kuwekewa umeme.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: