Marekani yahalalisha uamuzi wake wa kupeleka mabomu ya cluster Ukraine
Автор: VOA Swahili
Загружено: 2023-07-10
Просмотров: 315
Описание:
Marekani yasema itapeleka makombora kadhaa ya kuziba mwanya wa silaha unaoikabili Ukraine ikihalalisha uamuzi wake wa kupeleka mabomu ya cluster, yenye milipuko yenye kutoa mawasiliano madogo na mabomu kadhaa yanayoweza kuua kiholela . Inaelezwa kuwa madhara ya mabomu hayo ni makubwa na jinsi yanavyoweza kubakia bila ya kulipuka na baadae kuwajeruhi raia hususan watoto wadogo.
#marekani #makombora #silaha #ukraine #mabomu #clusterbombs #madhara #voa #voaswahili #dunianileo
- - - -
#VOASwahili
Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: