ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Huduma za afya Siaya kuimarika baada ya kaunti hiyo kusaini mkataba wa ushirikiano

Автор: KBC Channel 1

Загружено: 2026-02-05

Просмотров: 74

Описание: AFYA BORA SIAYA

Huduma za kina mama na watoto katika kaunti ya Siaya zinatarajiwa kuimarika baada ya serikali ya kaunti kutia saini mkataba wa maelewano na shirika lisilo la serikali, Lwala Community Alliance. Afisa mkuu mtendaji wa shirika hilo Julius Mbeya amesema wametenga shilingi milioni 150 kufadhili uwekaji wa vifaa muhimu katika vituo vyote vya afya ya umma katika kaunti ya Siaya kwa madhumuni ya kupunguza vifo vya kina mama wanaojifungua kwa takriban asilimia 70. Makubaliano hayo ya miaka mitano pia yatafanikisha utoaji mafunzo kwa wahudumu kuhusu mbinu bunifu za huduma kwa kina mma. Gavana wa kaunti ya Siaya James Orengo alisifia makubaliano hayo akisema yatapunguza gharama ya matibabu katika kaunti hiyo na akatoa wito kwa wahisani zaidi kujitokeza kupiga jeki sekta ya afya.

Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook:   / kbcchannel1tv  
Check our website: https://www.kbc.co.ke/

#kbcchannel1 #news #kbclive

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Huduma za afya Siaya kuimarika baada ya kaunti hiyo kusaini mkataba wa ushirikiano

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

trapped in afghanistan's deadliest blizzard - shepherds survival story

trapped in afghanistan's deadliest blizzard - shepherds survival story

KINGEREZA CHAMTIA NISHAI MBUNGE/ASHINDWA KUZUNGUMZA ANATA NATA/INASIKITISHA KWAKWELI

KINGEREZA CHAMTIA NISHAI MBUNGE/ASHINDWA KUZUNGUMZA ANATA NATA/INASIKITISHA KWAKWELI

TMA YATOA UTABIRI  WA MVUA ZA MASIKA MACHI HADI MEI /MKURUGENZI MKUU ATOA TAHADHARI HII NZITO

TMA YATOA UTABIRI WA MVUA ZA MASIKA MACHI HADI MEI /MKURUGENZI MKUU ATOA TAHADHARI HII NZITO

NASKIA UNAJIITA SULTAN, KUJA UAMBIE VIJANA WATAPATAJE KAZI KWA WIZARA YAKO! Ruto to Joho in Kilifi

NASKIA UNAJIITA SULTAN, KUJA UAMBIE VIJANA WATAPATAJE KAZI KWA WIZARA YAKO! Ruto to Joho in Kilifi

KBC TV LIVE: Prime Edition with Marie Yambo || 5th February 2026 || www.kbc.co.ke

KBC TV LIVE: Prime Edition with Marie Yambo || 5th February 2026 || www.kbc.co.ke

Gdy Muhammad Ali stanął naprzeciw prawdziwego Ivana Drago

Gdy Muhammad Ali stanął naprzeciw prawdziwego Ivana Drago

PROF. MUHONGO AITAKA TANZANIA KUJIPIMA KIMATAIFA “HUWEZI KUWEKA MIPANGO HALAFU UNAJIJADILI MWENYEWE”

PROF. MUHONGO AITAKA TANZANIA KUJIPIMA KIMATAIFA “HUWEZI KUWEKA MIPANGO HALAFU UNAJIJADILI MWENYEWE”

Sonko ajitetea katika kesi ya sakata ya ardhi

Sonko ajitetea katika kesi ya sakata ya ardhi

Israel Mbonyi - Nitaamini

Israel Mbonyi - Nitaamini

"UPDF must be a professional army. That is gov't's position" Baryomunsi on the Hard Questions Show

Breaking: Junet SOLD ODM! Sifuna FINALLY Spills The Beans

Breaking: Junet SOLD ODM! Sifuna FINALLY Spills The Beans

seneti yatilia shaka matumizi ya fedha katika kaunti ya Nyandarua

seneti yatilia shaka matumizi ya fedha katika kaunti ya Nyandarua

Pauvreté extrême : l’Amérique qui sombre

Pauvreté extrême : l’Amérique qui sombre

Prawda o kręceniu Terminatora szokuje

Prawda o kręceniu Terminatora szokuje

Законодатели США осуждают нарушение Руандой Вашингтонского соглашения/гуманитарный кризис в ДРК 0...

Законодатели США осуждают нарушение Руандой Вашингтонского соглашения/гуманитарный кризис в ДРК 0...

Gachagua Uhuru handshake? Malala aeleza mabadiliko ya Jubilee na nia ya ODM kuuzwa #UkumbiWaSiasa

Gachagua Uhuru handshake? Malala aeleza mabadiliko ya Jubilee na nia ya ODM kuuzwa #UkumbiWaSiasa

Трейдеры на рынке Руай оценивают свои убытки после того, как их рынок был уничтожен компанией Sak...

Трейдеры на рынке Руай оценивают свои убытки после того, как их рынок был уничтожен компанией Sak...

KONIEC AZYLU? Prokuratura idzie po Ziobrę! Szokujące słowa śledczego!

KONIEC AZYLU? Prokuratura idzie po Ziobrę! Szokujące słowa śledczego!

Ruto: Wanafunzi wasifukuzwe shuleni kwa kukosa karo

Ruto: Wanafunzi wasifukuzwe shuleni kwa kukosa karo

You Are Definitely Fluent in British English If You Understand These

You Are Definitely Fluent in British English If You Understand These

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]