UONGO WA KALE PAT 8 MAU MPEMBA DONGO NA MAKUNDE
Автор: Mau Mpemba
Загружено: 2023-05-08
Просмотров: 103120
Описание:
#MauMpemba #KomboKichwa #VitukoZanzibar
Furahi na jifunze na vichekesho vya Mau Mpemba. Mau Mpemba ni msanii wa Zanzibar anaejulikana sana kwa aina yake ya sanaa ya maigizo kwa kutumia asili yake ya Pemba. Kwa kushirikiana na wasanii mbali mbali Tanzania, Mau Mpemba anasisimua na kuvunja mbavu za watu wengi wanaopenda aina yake ya maigizo.
Aina ya sanaa anayofanya Mau Mpemba ni mfano wa kuingwa kwani, anatumia kile kidogo alichonacho ili kufurahisha na kuelimisha pia.
Ukihitaji kuunga mkoni harakati za wasanii hawa ili waweze kuleta furaha kila siku katika jamii zetu, hakikisha unatangaza biashara yako au kutoa ushauri wako kupitia.
+255 777 001500
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: