ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Maswali Mazito Kanisa la Gwajima: Mali Zapotea Chini ya Ulinzi wa Polisi, JE NI KWELI ?

Автор: HARAKATI TV

Загружено: 2025-12-19

Просмотров: 23107

Описание: Maswali Mazito Kanisa la Gwajima: Mali Zapotea Chini ya Ulinzi wa Polisi, JE NI KWELI ?

Mapya yameibuka katika Kanisa la Ufufuo na Uzima chini ya Askofu Josephat Gwajima, baada ya uongozi wa kanisa hilo kudai kuwepo kwa upotevu na uharibifu wa mali zenye thamani ya Sh2.7 Bilioni. Tukio hilo linadaiwa kutokea katika kipindi ambacho kanisa lilikuwa chini ya ulinzi wa Polisi Tanzania, jambo linalozua maswali mazito kuhusu uwajibikaji na usalama wa mali za taasisi za kidini

Kwa sasa, uongozi wa kanisa unasema unasubiri msimamo wa Serikali kabla ya kuchukua hatua zaidi, wakati Polisi Tanzania wakithibitisha kuwa uchunguzi dhidi ya madai hayo unaendelea kufanyika.

Hii ni moja ya habari kubwa zinazoendelea kuibua mjadala mpana nchini, huku sakata hili likiacha maswali mengi: Mali hizo zilipoteaje? Nani anapaswa kuwajibika? Na hatua gani zitachukuliwa baada ya uchunguzi kukamilika?

Endelea kutazama kwa uchambuzi wa kina, taarifa mpya, na mwelekeo wa sakata hili linalohusisha Gwajima, Kanisa, Polisi na Serikali.

🔔 BONYEZA SUBSCRIBE ili usipitwe na habari na uchambuzi wa siasa za Tanzania!

#siasatanzania #uchambuzi #PolisiTanzania #ccm #askofugwajima #kanisa #HabariZaLeo #KanisaLaUfufuoNaUzima

News Theme 1 by Audionautix is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 license. https://creativecommons.org/licenses/...

Artist: http://audionautix.com/

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Maswali Mazito Kanisa la Gwajima: Mali Zapotea Chini ya Ulinzi wa Polisi, JE NI KWELI ?

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

KWA MARA YA KWANZA KASSIM MAJALIWA AFUNGUKA YA MOYONI MBELE YA WANANCHI TANGU KUSTAAFU KWAKE

KWA MARA YA KWANZA KASSIM MAJALIWA AFUNGUKA YA MOYONI MBELE YA WANANCHI TANGU KUSTAAFU KWAKE

🔴LIVE:HALI HALISI YA TANZANANIA NA UONGOZI WA SAMIA SULUHU #samiasuluhuhassan  #tanzanianews

🔴LIVE:HALI HALISI YA TANZANANIA NA UONGOZI WA SAMIA SULUHU #samiasuluhuhassan #tanzanianews

ASKOFU BAGONZA AFUNGUKA MAZITO MBELE YA WAZIRI SIMBACHAWENE/ASHUSHA NONDO NZITO/WAZIRI AKIRI HAYA

ASKOFU BAGONZA AFUNGUKA MAZITO MBELE YA WAZIRI SIMBACHAWENE/ASHUSHA NONDO NZITO/WAZIRI AKIRI HAYA

SIRI IMEFICHUKA  KUKAMATWA ASHURA MASOUD (CHADEMA) Polisi Wajibu Madai na kutoa Onyo

SIRI IMEFICHUKA KUKAMATWA ASHURA MASOUD (CHADEMA) Polisi Wajibu Madai na kutoa Onyo

Ask. Bagonza awapa somo gumu wachungaji na waumini

Ask. Bagonza awapa somo gumu wachungaji na waumini

WARUNDI KIBAO WANASWA  WAFUNGUKA HAYA HALI NGUMU NDIO INAYO TUFANYE TUWE IVI

WARUNDI KIBAO WANASWA WAFUNGUKA HAYA HALI NGUMU NDIO INAYO TUFANYE TUWE IVI

TAZAMA ASKOFU BAGONZA AMCHANA SIMBACHAWENE KUHUSU MARIDHIANO / WAKUTANA USO KWA USO

TAZAMA ASKOFU BAGONZA AMCHANA SIMBACHAWENE KUHUSU MARIDHIANO / WAKUTANA USO KWA USO

JIRANI WA MWIJAKU AFICHUA MAZITO YA MKE WA MWIJAKU BAADA YA KUACHANA NA MWIJAKU,TAZAMA HAPA...

JIRANI WA MWIJAKU AFICHUA MAZITO YA MKE WA MWIJAKU BAADA YA KUACHANA NA MWIJAKU,TAZAMA HAPA...

Mbarikiwa

Mbarikiwa "akwazika" na kauli ya Simbachawene kwamba HAJUI HAKI NI NINI? Waweza kutenda haki ambayo

🔴#Live MAJALIWA AVUNJA UKIMYA AFICHUA SIRI NZITO ,AMTAJA MAGUFULI ,KIKWETE NA SAMIA HADHARANI

🔴#Live MAJALIWA AVUNJA UKIMYA AFICHUA SIRI NZITO ,AMTAJA MAGUFULI ,KIKWETE NA SAMIA HADHARANI

MAPYA BONIFACE MWANGI NA AGATHER ATUHAIRE WAMTAJA AFANDE MAFWELE! WALINIMWAGIA VILAINISHI WAKAINGIZA

MAPYA BONIFACE MWANGI NA AGATHER ATUHAIRE WAMTAJA AFANDE MAFWELE! WALINIMWAGIA VILAINISHI WAKAINGIZA

NOMA: MSTAAFU MAJALIWA ATOA SIRI AKILIA NA HAYATI MAGUFULI AKIMTAJA KIKWETE NA DR SAMIA WALIVOMTEUA

NOMA: MSTAAFU MAJALIWA ATOA SIRI AKILIA NA HAYATI MAGUFULI AKIMTAJA KIKWETE NA DR SAMIA WALIVOMTEUA

ASKOFU BAGONGA ANAKIRI UKWELI - VIONGOZI WANAJUA LAKINI WANASITA, WANAKAA KIMYA

ASKOFU BAGONGA ANAKIRI UKWELI - VIONGOZI WANAJUA LAKINI WANASITA, WANAKAA KIMYA

SIRI NZITO YA MGODI WA MAKAA YA MAWE TANZANIA | ROSTAM AZIZI DOCUMENTARY

SIRI NZITO YA MGODI WA MAKAA YA MAWE TANZANIA | ROSTAM AZIZI DOCUMENTARY

Watu Wachukia Kauli ya Waziri Mkuu Kuhusu Mali, KWA NINI !

Watu Wachukia Kauli ya Waziri Mkuu Kuhusu Mali, KWA NINI !

TAMKO LA DKT MWIGULU NCHEMBA BAADA YA MAREKANI KUWAZUIA WATANZANIA KUINGIA USA AMVAA MANGE KIMAMBI.

TAMKO LA DKT MWIGULU NCHEMBA BAADA YA MAREKANI KUWAZUIA WATANZANIA KUINGIA USA AMVAA MANGE KIMAMBI.

Hofu ya Mapinduzi yalazimisha Samia kusalia Ikulu Dr Nchimbi akisafiri Uganda kama Rais wa Tz

Hofu ya Mapinduzi yalazimisha Samia kusalia Ikulu Dr Nchimbi akisafiri Uganda kama Rais wa Tz

MSHTUKO MKUBWA CCM NA CHADEMA BAADA YA VIGOGO HAWA KUJIONDOA 2025

MSHTUKO MKUBWA CCM NA CHADEMA BAADA YA VIGOGO HAWA KUJIONDOA 2025

RAIS MSTAAFU KIKWETE ALIVYOMPA ONYO KALI KAGAME

RAIS MSTAAFU KIKWETE ALIVYOMPA ONYO KALI KAGAME "ATAKIONA CHA MTEMA KUNI"

KIBARUA CHA AFISA KAZI MANYARA MATATANI, RC SENDIGA AMTILIA SHAKA | “KAMA NDIO HUYU KAZI TUNAYO”

KIBARUA CHA AFISA KAZI MANYARA MATATANI, RC SENDIGA AMTILIA SHAKA | “KAMA NDIO HUYU KAZI TUNAYO”

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]