ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Utekaji Tanzania: ‘Familia zina maumivu, serikali ipo kimya’

Автор: BBC News Swahili

Загружено: 2025-09-02

Просмотров: 86787

Описание: Zikiwa zimesalia wiki chache kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu nchini Tanzania, inaelezwa kuwa macho ya wengi yanaangazia taifa hilo la Afrika Mashariki na jinsi linavyoshughulika na wakosoaji wake katika kipindi hiki.

Taarifa mbalimbali zimekuwa zikitaja kuwa wakosoaji wa Serikali ya Tanzania wamekuwa wakipotezwa au kutekwa huku mamlaka zikiwa kimya. Watetezi wa haki wameeleza kuwa wanaharakati na wanasiasa wa upinzani wamepotea kwa nyakati tofauti huku baadhi hawajaonekana tena, wakati wengine hurudi na simulizi za kutisha.

BBC imezungumza na familia zilizoathiriwa na mikasa hiyo inayoendelea kuripotiwa.
Serikali ya Tanzania imekanusha kuhusika na matukio ya watu kupotea.
BBC ilituma maombi ya mahojiano na polisi lakini haikujibiwa.
Taarifa imeandaliwa na Alfred Lasteck.
-
-
#bbcswahili #utekaji #tanzania

Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili    / @bbcnewsswahili  

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Utekaji Tanzania: ‘Familia zina maumivu, serikali ipo kimya’

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

#LIVE: SATIVA ANAANIKA MAZITO MUDA HUU, KUTEKWA KWAKE MPAKA KUTUPWA KATIKATI YA WANYAMA WAKALI

#LIVE: SATIVA ANAANIKA MAZITO MUDA HUU, KUTEKWA KWAKE MPAKA KUTUPWA KATIKATI YA WANYAMA WAKALI

Hali ya Hofu Tanzania: Africa Eye inachunguza wimbi la watu kutoweka

Hali ya Hofu Tanzania: Africa Eye inachunguza wimbi la watu kutoweka

Uchunguzi maalum wa utekaji Tanzania. Katika Dira ya Dunia TV

Uchunguzi maalum wa utekaji Tanzania. Katika Dira ya Dunia TV

'Tumewatafuta lakini bado hatujui walipo'. Utekaji Tanzania, katika Dira ya Dunia TV

'Tumewatafuta lakini bado hatujui walipo'. Utekaji Tanzania, katika Dira ya Dunia TV

Marekani, Saudi Arabia, Qatar na UAE waahidi fedha kujenga upya Gaza. Katika Dira ya Dunia TV

Marekani, Saudi Arabia, Qatar na UAE waahidi fedha kujenga upya Gaza. Katika Dira ya Dunia TV

Mwanamfalme wa zamani Uingereza Andrew Mountbatten-Windsor akamatwa. Katika Dira ya Dunia TV

Mwanamfalme wa zamani Uingereza Andrew Mountbatten-Windsor akamatwa. Katika Dira ya Dunia TV

ДНК турок и армян разрушила все мифы о происхождении

ДНК турок и армян разрушила все мифы о происхождении

Kivulini Talks E01: Tanzania Baada ya Oktoba 29—Tunaendaje?

Kivulini Talks E01: Tanzania Baada ya Oktoba 29—Tunaendaje?

БАНДА ИСТЕРИЧЕК В ЭФИРЕ! Соловьев, Скабеева и Симоньян ВОЮТ про НАТО, а Царев ПОСЛАЛ в

БАНДА ИСТЕРИЧЕК В ЭФИРЕ! Соловьев, Скабеева и Симоньян ВОЮТ про НАТО, а Царев ПОСЛАЛ в "русский мир"

TIBAIJUKA AFUNGUKA MAZITO SAKATA UUZWAJI DHAHABU, AITAJA TEGETA ESCROW - SEHEMU YA KWANZA

TIBAIJUKA AFUNGUKA MAZITO SAKATA UUZWAJI DHAHABU, AITAJA TEGETA ESCROW - SEHEMU YA KWANZA

Duh! WAZIRI MWIGULU AWAFYEKA VIGOGO | HAKUNA SIRI TENA AWALIPUA

Duh! WAZIRI MWIGULU AWAFYEKA VIGOGO | HAKUNA SIRI TENA AWALIPUA

22.2.26  VICTOIRE YA WAZALENDO-FARDC NGOLOLO-MIRUTA/MASISI MINEMBWE M23/RDF.

22.2.26 VICTOIRE YA WAZALENDO-FARDC NGOLOLO-MIRUTA/MASISI MINEMBWE M23/RDF.

MDUDE AKIELEZA YALIYO MSIBU AKIWA MIKONONI MWA POLISI

MDUDE AKIELEZA YALIYO MSIBU AKIWA MIKONONI MWA POLISI

KIMENUKA SELASINI BILA UOGA AISHUKIA TUME YA MACHAFUKO OKTOBA 29/AWAKAANGA MACHAWA NA SAKATA LA B2.

KIMENUKA SELASINI BILA UOGA AISHUKIA TUME YA MACHAFUKO OKTOBA 29/AWAKAANGA MACHAWA NA SAKATA LA B2.

🔥Лютый РАЗНОС НАВАЛЬНОЙ! Слили ТАЙНУ СМЕРТИ мужа. В Москве ДИКИЙ КИПИШ. АСЛАНЯН, ЯКОВЕНКО. ЛУЧШЕЕ

🔥Лютый РАЗНОС НАВАЛЬНОЙ! Слили ТАЙНУ СМЕРТИ мужа. В Москве ДИКИЙ КИПИШ. АСЛАНЯН, ЯКОВЕНКО. ЛУЧШЕЕ

ГУДИТ вся РФ! «СВО» уже СЛИВАЮТ? ВСУ УНИЗИЛИ Путина! | Антизомби 2026 - 108 ПОЛНЫЙ выпуск 20.02.26

ГУДИТ вся РФ! «СВО» уже СЛИВАЮТ? ВСУ УНИЗИЛИ Путина! | Антизомби 2026 - 108 ПОЛНЫЙ выпуск 20.02.26

⚡️У Путина ВНЕЗАПНО ПЕРЕДУМАЛИ по ВОЙНЕ! ХАОС после Женевы РАЗРЫВАЕТ РФ. Москвичи ВЗВЫЛИ. @ВОТЧТО

⚡️У Путина ВНЕЗАПНО ПЕРЕДУМАЛИ по ВОЙНЕ! ХАОС после Женевы РАЗРЫВАЕТ РФ. Москвичи ВЗВЫЛИ. @ВОТЧТО

ЦЕНА ОШИБКИ: 13 Инженерных Катастроф, Которые Потрясли Мир!

ЦЕНА ОШИБКИ: 13 Инженерных Катастроф, Которые Потрясли Мир!

🔴#LIVE: MADELEKA ANACHAMBUA SAKATA LA KESI YA UHAINI

🔴#LIVE: MADELEKA ANACHAMBUA SAKATA LA KESI YA UHAINI "CHADEMA WASIKUBALI MARIDHIANO"

Трамп о секретах НЛО. Ужесточения для беженцев. Суд отменил тарифы: реакция. Арест бывшего принца

Трамп о секретах НЛО. Ужесточения для беженцев. Суд отменил тарифы: реакция. Арест бывшего принца

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]