KILA MTANZANIA SASA KUTUMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA, KWA SHILINGI 1000/= TU UNAPATA GESI YA KUPIKIA
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2024-05-17
Просмотров: 2275
Описание:
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus pamoja na viongozi wengine wakiongea na Vyombo vya Habari, Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2024 kuhusu Mkutano wa Nishati Safi (Clean Cooking) uliofanyika mjini Paris nchini Ufaransa chini ya Kinara wa Nishati Safi ya Kupikia Afrika, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: