DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Dunia Yetu | Leo Mchana | 17.12.2025 | Swahili News
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-12-17
Просмотров: 13383
Описание:
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu leo
Haya ni miongoni mwa tuliyokuandalia kwenye Dunia Yetu Leo Mchana Disemba 17, 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW, Bonn:
Waziri wa zamani nchini Kongo na mshirika wa Joseph Kabila, Emmanuel Shadary akamatwa Kinshasa
Australia yafungua mashtaka dhidi ya mshukiwa wa shambulio la Bondi lililosababisha vifo vya watu 15
Rais wa Marekani Donald Trump atia saini marufuku ya kusafiri kwa nchi nyingine saba ikiwemo Syria na Sudan Kusini
#DWKiswahili #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: