E HABARI MARCH 01 2026/RAIS DKT. SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA KEEP A CHILD ALIVE
Автор: EFM TANZANIA
Загружено: 2026-03-01
Просмотров: 119
Описание:
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Keep a Child Alive, Antonio Ruiz-Giménez Junior.
Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika Ikulu ya Dar es Salaam leo Machi mosi, Antonio aliambatana na ujumbe wake pamoja na Mkurugenzi wa Taasisi ya Doris Mollel Foundation Bi. Doris Mollel.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: